Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Sema mtungi wa Chang'aa umezama Baharini
the latter.Was the train using SGR or RVR?
Ni hii SGR mpya ya kichina, mbona sasa itakua hatari sana kama kweli...
Mbona unakuwa na news utoi ? ?it is not sgr...stop spreading fake news
this is a tragedy like any other...even bullet trains derail in China and Europe
Ni meter gauge sio sgr.Ni hii SGR mpya ya kichina, mbona sasa itakua hatari sana kama kweli...
Stop spreading FAKE NEWS.Ni hii SGR mpya ya kichina, mbona sasa itakua hatari sana kama kweli...
Wakati mafuriko yanaathiri reli yatu pale moro, mkenya mmoja akakimbia kufungua uzi, sijui leo atasemaje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Watanzania mjenge madaraja ya reli kama ya Kenya, sasa kwenu usafiri umekwama
CC MK254
Wakati mafuriko yanaathiri reli yatu pale moro, mkenya mmoja akakimbia kufungua uzi, sijui leo atasemaje[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Watanzania mjenge madaraja ya reli kama ya Kenya, sasa kwenu usafiri umekwama
CC MK254
Kho kho.kho. Kijana wahenga walisema, kuchamba kwingi hutoka na mavi.Train derailment hutendeka kote duniani, jambo la kawaida, lakini yenu ilikua reli inasombwa na mafuriko...noma
Halafu huu uzi una fake news.. eti SGR.
Vipi kale kasafu kenu ka Dar-Moro mumeanza kukoroga zege ama bado mnaweka jiwe la msingi.
Shida yenu wakenya ni kusahau sahau, nahisi ni kwa sababu mnaongea uongo mwingi ndo maana hamkumbuki yaliyopita.Train derailment hutendeka kote duniani, jambo la kawaida, lakini yenu ilikua reli inasombwa na mafuriko...noma
Halafu huu uzi una fake news.. eti SGR.
Vipi kale kasafu kenu ka Dar-Moro mumeanza kukoroga zege ama bado mnaweka jiwe la msingi.
Shida yenu wakenya ni kusahau sahau, nahisi ni kwa sababu mnaongea uongo mwingi ndo maana hamkumbuki yaliyopita.
Ngoja nikukumbushe kuwa hii sgr yenu mnayotumia ilisombwa na mafuriko mwaka 2016 ndo mkarekebisha tena.
Floods wash away part of Standard Gauge Railway (SGR) project
Sasa nakushangaa unaona kitendo cha mgr yetu kuathiriwa na mafuriko kama kitu kipya kutokea hapa chini ya jua.
BTW, naskia mlikosa hela za kuwanunulia vibarua wa sgr gumboots hadi wakagoma kufanya kazi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hundreds of SGR workers down tools over working conditions