joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Lima na wewe ndugu ili usinunue vitu kwa bei kubwa, sasa unataka nani alime achakae na matope shambani halafu aje akuuzie chakula kwa bei unayotaka wewe[emoji192][emoji192]Kwa taarifa tu sembe imepanda bei sana..
Kutoka 23 elfu mpaka elf 30.
Mchele nao umepanda maradufu.
Tanzania ni baba WA East Africa hadi SADC yaani sisi ndio kusema [emoji23][emoji23][emoji23] tukikohoa mnaitika.
Mngejua kuwa mwaka huu na ujao njaa itaua watu tanzania wala msingeuza mahindi
Hii ni kudhihirisha kwamba, Tanzania ni tegemeo la nchi zote katika ukanda huu, wakati huohuo mauzo ya mchele kwenda Rwanda, Uganda na Kenya yameongezeka Mara dufu mwaka huu.
Kutokana na kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula mwaka huu, na kuendelea kupungua kwa mavuno kwa nchi za Kenya, Malawi, Zambia, Msumbiji na Zambia, Tanzania inategemea kuuza chakula zaidi mwakani.
NCHI YA MAZIWA NA ASALI.