Train za Mizigo toka Dar mpaka Kampala zaongezeka

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Hii imekuja kipindi ambacho waganda wameshitushwa na habari ya China kuwanyima mkopo Kenya wa kufikisha reli ya SGR hadi Malaba. Kutokana na hali hiyo, Uganda haiwezi tena kupata mkopo wa kujenga reli ya kuunganisha na Kenya, kwahiyo njia pekee ya usafiri wa reli ya kuaminika ni kupitia Dar.

Serikali ya Tanzania sio tu inajenga reli mpya ya SGR, bali pia inakarabati reli ya zamani na kununua reli maalumu zenye uwezo wa kubeba train na kuzivusha hadi Port bell Uganda ili ziendelee na safari, pia Tanzania inanunua meli kubwa na yakisasa ya abiria itakayofanya safari zake kati ya Uganda na Tanzania ili kupunguza gharama za usafiri.
 
Ata mfanyeje hamtawai shawishi wa Ug waitumie port ya Dar.. Mombasa will remain their preferred port hadi wewe na kizazi yako wakufe.. Kwanza tumewapea dry port Naivasha Sasa time seal kabisa
 
Ata mfanyeje hamtawai shawishi wa Ug waitumie port ya Dar.. Mombasa will remain their preferred port hadi wewe na kizazi yako wakufe.. Kwanza tumewapea dry port Naivasha Sasa time seal kabisa
Hahahahaha, Hahahahaha, chungu kuweza.
 
Wewe umesahau kuwa Kenya ndio nchi pekee inayo reli iliyofika Kampala na 90% ya import ya Uganda inapitia aidha through hiyo reli au barabara ya Kenya? Hiyo reli inatumika hadi sasa. Chuki yako haitakusaidia kubadilisha ukweli kwamba U.G wanaimport 90% ya import zao through KE.
 
Hahahahaha, mizigo ya Uganda toka Mombasa karibu yote hutumia barabara, reli yenu ya RVR ni kama haipo. Any way, siku za nyuma, 30% ya Mizigo ya Uganda ilikua inapitia Dar, baadae ilishuka hadi 5%. Lengo letu ni kurudisha ile 30% tuliyopoteza na kuongeza hadi 50%.

Kutokana na Kenya kufikisha reli ya SGR Malaba, inatuma matumaini sana kufikisha 50% kwasababu tutafikisha SGR, na hizo meli zenye uwezo wa kubeba trains, zitaunganisha reli ya Tanzania na Uganda.

This is business, let us give business communities varieties of options, and it is up to them to choose. "Hapa kazi Tu".
 
Its cheaper and easier to transport goods over the lake to their final destiation(s) in uganda
 
Reli yetu bado inafanya kazi. Mbona umeiuwa kifo cha mende na bado iko uhai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…