tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,129 Sep 25, 2011 #1 Hivi kuna mtu ambaye ameshafanyiwa interview, ameshaitwa kuanza hii program. Kwangu mimi wiki mbili walizodai nisubiri zimeshakwisha, na kila ninayemuuliza{ninaowafahamu} wanadai hawajaitwa.
Hivi kuna mtu ambaye ameshafanyiwa interview, ameshaitwa kuanza hii program. Kwangu mimi wiki mbili walizodai nisubiri zimeshakwisha, na kila ninayemuuliza{ninaowafahamu} wanadai hawajaitwa.
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,129 Sep 25, 2011 Thread starter #3 Sngs said: Vuta subira kaka Click to expand... mh sawa mkuu, nilitaka kujua kwan unaweza ukawa unasubir wkt wenzako washaanza.
Sngs said: Vuta subira kaka Click to expand... mh sawa mkuu, nilitaka kujua kwan unaweza ukawa unasubir wkt wenzako washaanza.