wewe tafukuru humo au anajishaushauTarehe 3 June, nisiku ya wale waliopata kazi ya Customs Officer ku report Institute of Tax Administration.Wadau naomba kama kuna yeyote anejua hata kwa umbali utaratibu mzima pale utakuaje kwenye mambo ya masomo, accomodation, maisha ya kawaida nk kwa kipindi icho cha miezi miwili???
Tarehe 3 June, nisiku ya wale waliopata kazi ya Customs Officer ku report Institute of Tax Administration.
Wadau naomba kama kuna yeyote anejua hata kwa umbali utaratibu mzima pale utakuaje kwenye mambo ya masomo, accomodation, maisha ya kawaida nk kwa kipindi icho cha miezi miwili???
Wasikutishe Kaka, apa uivu mwingi. Kwanza najua lazima ufaulu cos walichukua vichwa tu....
Ila utaratibu nasikia mambo shwari, buffet daily, shavu dodo.
Sema sijui Kama chumba ni private au unashea....
GPA ya 3.9 and better only...