Training ya fursa katika forex trading na technical analysis of forex markets 7-10 July Dar

CFX CONSULTING

New Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2
Reaction score
2
Je unataka kujiajiri katika Forex online trading? Au unapenda kutumia muda wako wa ziada kujiongezea kipato kwa kutrade online?Tutakufundisha.

Je unapenda kujifunza jinsi ya kufanya technical analysis wa kutumia charts ili uweze kujua kama ununue ama kuuza an asset? Tutakufundisha pia.

Kutakuwa na training Dar es salaam 7th to 10th July,register now!!Usikose kujifunzambinu mpya kabisa ya kutengeneza pesa. Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea tovuti yetu at www.cfx.co.tz au tuandikie cmakombe@cfx.co.tz.

We are experienced Tanzanian forextraders with more than ten years of experience. We know a lot about Forex.

Visit us at WELCOME TO CFX CONSULTING SERVICES

Target clients: Individuals entrepreneurs, finance managers in corporates and NGOs, high networth individuals, students and anyone looking to enhance knowledge and opportunities in financial markets.
 
Weka namba ya simu iwe rahisi, gharama ,sehemu itakapofanyikia semina.
 
Tangazo LA hovyo kabisa, mmeambiwa muweke no za simu hamuweki mnadhani kila mtu ana e-mail. Kama hata kuandika tangazo hamuwezi sasa mafunzo ya Forex ndio mtaweza kutoa kweli?, nina wasiwasi na uwezo wenu
 
member aliyetoa tangazao last seen ni mwaka 2015, tangazo lina miaka 2 miwili sasa.
 
member aliyetoa tangazao last seen ni mwaka 2015, tangazo lina miaka 2 miwili sasa.
Dah sikuangalia tarehe, nilijua genge lingine limeibuka tena maana toka TMT wameanza training wameibuka watu wengi wakijifanya na wao wanatoa training sasa cha kujiuliza mwanzoni walikuwa wapi? Au ndio usanii tu
 
Huoni kama ilo tangazo ni before TMT haijaanzishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…