Transaction ID (NACTE) kwa 40000/= tu

Transaction ID (NACTE) kwa 40000/= tu

No More Drama

Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
95
Reaction score
19
By Marco Polo


JAMANI NAOMBENI MSAADA,
NIMETUMA 50000 NACTE KIMAKOSA LENGO LILIKUWA KUTUMA KWENDA TCU,
NACTE WAMENIAMBIA NIMTAFUTE MTU ANAYETUMIA DIPLOMA KU APPLY DEGREE KUPITIA NACTE NIMPE transaction id ILI ANIRUDUSHIE 50,000 YANGU,
KAMA KUNA MTU WA NAMNA HIYO ANITAFUTE KUPITIA 0716798668 ILI TUSAIDIANE,
NITAMPA ID HATA KWA 40000 BADALA YA 50000.
AHSANTENI.
 
Last edited by a moderator:
Duh! Naona wananchi wamelipotozea bandiko langu.......jitokezeni basi jamani.
 
Mkuu, pita hata NBC kuna ambao wanakosea, hivyo ukiwaambia ma teller watakwaambia acha namba yako ya simu kisha akipatikana aliekosea wanampa namba yako hapo wewe na yeye ndio mnamalizana.
 
Back
Top Bottom