No More Drama
Member
- Jun 2, 2013
- 95
- 19
JAMANI NAOMBENI MSAADA,
NIMETUMA 50000 NACTE KIMAKOSA LENGO LILIKUWA KUTUMA KWENDA TCU,
NACTE WAMENIAMBIA NIMTAFUTE MTU ANAYETUMIA DIPLOMA KU APPLY DEGREE KUPITIA NACTE NIMPE transaction id ILI ANIRUDUSHIE 50,000 YANGU,
KAMA KUNA MTU WA NAMNA HIYO ANITAFUTE KUPITIA 0716798668 ILI TUSAIDIANE,
NITAMPA ID HATA KWA 40000 BADALA YA 50000.
AHSANTENI.
poa mkuu jamaa Marco Polo kanambia nimsaidie kupostNgoja waje mkuu utapata mtu tu
mchek kwa iyo mamba yake mkuu yupo serious kabsa usiogope atakupa uiingze kwanz ila use mwaminifuOyah! Mi nahusika ila nitaamini vipi kama transaction id yako iko sahihi
Oyah! Mi nahusika ila nitaamini vipi kama transaction id yako iko sahihi
Oyah! Mi nahusika ila nitaamini vipi kama transaction id yako iko sahihi
Mkuu, pita hata NBC kuna ambao wanakosea, hivyo ukiwaambia ma teller watakwaambia acha namba yako ya simu kisha akipatikana aliekosea wanampa namba yako hapo wewe na yeye ndio mnamalizana.