Sensei Tai
Senior Member
- May 26, 2022
- 168
- 466
60k pesa lakini ipo chini sana, huwezi pata GB 1000 kwa bei hiyo labda zile kampuni nyingine.Chukua 60k mkuu
60k pesa lakini ipo chini sana, huwezi pata GB 1000 kwa bei hiyo labda zile kampuni nyingineChukua 60k mkuu
Ni nzima fresh?
Haina changamoto ya aina yoyote.Ni nzima fresh?
Ni nzima fresh?
Najua ila si unaelewa mkuu60k pesa lakini ipo chini sana, huwezi pata GB 1000 kwa bei hiyo labda zile kampuni nyingine.
Mwisho kabisa 70,000 kama upo tayari nichekiSi wabangaizaji tu haikua kwenye budget ndio maana nakwambia hiyo bei
Kazi yake ni niniHabari
Nauza External Hard Drive yenye ukubwa wa GB 1000 (1TB) ambayo nimeitumia kwa muda wa mwezi mmoja na nusu tu.
Bado ni mpya kabisa haina mchubuko wa aina yoyote wala tatizo lolote na ukiiona ndo utaamini kama namaanisha au natania.
Bei ni Tshs 85,000
Karibu tufanye bishara kwa wateja walio serious
Napatikana Mbezi ya Kimara jirani kabisa stand ya Magufuli Terminal
Mawasaliano yangu ni 0764368588
😳Kazi yake ni nini