Transcript ya tuhuma alizozitoa Waitara dhidi ya Mbowe in word format

Ccm inawauma sana, mtego wao wa kwanza ulikuwa ni kuhakikisha Mbowe hapiti uenyekiti, sasa baada ya kushindwa na chadema kuvuka mtego. Huo hasira zao zikahamia kuiunga mkono NCCR ili niwe chama kikuu cha upinzani, lakini napo wanapata shida kwa sababu chama hicho hakiwezi kujijenga muda uliobaki ni mxhche sana. Mbowe kinachomsaidia ni ushushu wake, vinginevyo angeshapoteza siku nyingi kabla ya hata Lissu
 
Sasa kama Chadema ndie mwizi unategemea ajibu nini? Lijualikali hajasema kitu kipya. Kwa vile accounting officers wa Chadema wa wakati ule wamehama chama basi wao wangeweka nyama kwenye hizi shutuma na kutaka hao wajapan walikuwa nani na uhusiano wao na Gwajima ni upi. Na kwa nini CAG hakuziona hizo pesa na kuziulizia. Sio wajibu wao kujibu kila kitu kinachoandikwa bila uthibitisho. Hasa na watu wanaonekana wazi wana personal grievances against chama chao.

Amandla...
 
Kinachonishangaza ni CHADEMA kuendelea kuwa hai hadi sasa maana tuliambiwa mauti yatakikuta kabla ya 2014. Nimezunguka jimbo nililopo kata zote zina watia nia wa Udiwani toka CDM zaidi ya 2, jimbo mpaka sasa linwaniwa na wanaCDM 4! Hiki chama kife basi tupumzike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DJ makengeza kwenye ubora Wake anatafuna tu ngawira za chama kiulaini hakuna wakuhoji atahoji Nani? Na walio takiwa kuhoji ni misukule haijielewi haina ufahamu!
 
Kumbuka pia amekuwepo miaka 20 na...sasa.

Kwa nini wewe unazungumzia uwenyekiti pekee?
Kuzishinda tuhuma ni kujitokeza na kujisafisha mwenyewe,
Umeona hapo kuna swala la M/kiti mkuu!! Mbowe ni msomi na mwanasiasa mkomavu Acha ajitetee, au hao wanaomzushia awapeleke Mahakamani, kwani haya mambo aspoangalia, yakizidi na kuzidi yanampunguzia kutokuaminika Kwa wanachama wasiojua unachokitetea
 
Rubbish
 
Kama Chadema imekufa kwanini nguvu kubwa bado inatumika!!
Ila hii nchi ni heri ya tope, imagine waziri anaelipwa kwa kodi za wananchi kutwa kulumbana na Chadema, waziri wa Elimu!
 
Ni kichaa tu ndo anaweza kuishabikia na kushobokea chadema. Chadema ni genge la wezi siku nyingi sijui kwanini Msajili wa vyama hakifuti Chama hiki cha wezi.
 
Bashite. Lengo lake ni kuona Watanzania wanakufa kwa korona! Utakufa Wewe na bosi wako! Humpati mtu kwenye hiyo corona festival, kiongozi mwendawazimu!
Mkuu uko nchi gani, huoni yanayoendelea? Tuombe Mungu, ile ajali ya lorry la mafuta pale Moro hata wapitanjia iliwalamba!
 
Ccm sasa inarusharusha miguu, inatafuta wa kumlalamikia kuwa alisababisha kifo chake. Kweli Mbowe ni Mwamba.
 

Sasa CAG na repoti zake ni za nini kama utaamini wajinga
 
Umemwaga ugoro mtupu hata kusoma inakuwa ni vigumu
In God we Trust
 
Kwa cdm wamegonga mwamba kama ule wa dodoma
In God we Trust
 
Wana hasira vibaya sana hasa baada ya mapandikizi yao kupigwa chini kwenye kugombea nafasi ya mwenyekiti
In God we Trust
 
Message sent and clearly delivered
Matajiri wote waliokuwa wanakichangia chama, mumewapa kesi za uhujumu uchumi bila ushahidi na wanaozea ndani, wengine wamekufa vifo vya kutatanisha.

Mumejaribu kufanya kila kitu kwa Mbowe! Mumegonga Mwamba!!

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…