Wana jf habari zenu? Hv kweli kuna uwezekano wa kupata ajira kwa kutumia transcript badala ya original certifate ya chuo? Nisaidien kimawazo mana nategemea kumaliza chuo mwaka huu na ninampango wa kupata kazi mapema! Kwa tarifa tu nilizo nazo vyeti huchukua zaidi ya mwaka. Nisaidien wadau
unampango wa kupata kazi mapema kwa style gani? maana hii nchi ina mambo yake katika suala la ajira, kupata kazi kwa kutumia transcript inategemea na compuny gani inayotaka kukuajiri.
Samahani wadau, lengo langu lilikuwa nikusema kwamba nampango kuanza kutafuta kazi mapema, na sio kupata kaz mapema, sina mjomba wala baba ambaye yuko serikalin mwenye uwezo wa kunisaidia