Transfer forms za NACTE

Transfer forms za NACTE

Mpatanishi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,811
Reaction score
623
Kwa mujibu wa nacte wenyewe form zitakua hewani katika website yao kuanzia kesho. Malipo ya elfu 30 yanahusika. Deadine yao sijui itakua lini zaidi ya yote juzi ijumaa walisema selections bado inaendelea so wasiopata vyuo wasiwe na hofu. Hawa ndio nacte aiseeeeee.........
 
Wakuu mwenye taarifa kuhusu hizi fomu, naona web yao hakuna kitu je wataziweka kweli leo?
 
Kweli hii bongo lala. Wamewachagua vijana kwenye vyuo husika lakini vyuo husika havijatoa baadhi ya majina.
 
Nasubiri hizo fomu sana saaana nikamilishe transfer yangu aisee. Jamaa kama hawapo vile leo kutwa nzima nachek web yao kila mara ni holaaaa daaah na chuo ninachotarajia kuhamia wanafungua next week
 
Back
Top Bottom