Transfer TCU leo jioni

king mjuni

Member
Joined
Oct 11, 2014
Posts
93
Reaction score
15
Habari wakuu,

Daa! Nchi yetu ni noma hawa jamaa wa TCU vp mbona hawatoi afu wanapiga calender kwa sasa npo TCU afu naambiwa leo jion cjui kama watatoa tumuombe MUNGU!
 
Nauliza maswal hayo yote nitawajib so mda mrefu nikitoka 'cas' na kama kuna maswal mengne ulizeni ili niwaulze!
 
Na kama mtu anaona wamechelewa kujibu akaamua kujisajili chuo alichokubaliwa mwanzo sababu vyuo vngne vmeeanza masomo je akitokea amebahatka kuhamishwa chuo ni lazma ahame chuo cha kwanza?
 
Waulize wale tuliokuwa tushalipa 30000 ndio tushapata au nasi tuna hati hati
 
Waulize wale tuliokuwa tushalipa 30000 ndio tushapata au nasi tuna hati hati

kwan mkuu cwalixema successful applicants ndowatakao lipa sasa ww ulilipaje wakat hawajatoa majbu?"" au mm ndockuelewa maelezo yao
 
Mimi nilipitia chuo moja kwa moja wakanipa barua ya kunikubali wakanambia niipeleke tcu nilipofika mapokezi akanambia nikalipie bank 30000 kwanza ndio nkalipia akaziambatanisha zile form akapanda nazo juu
 
Habari wakuu,

Daa! Nchi yetu ni noma hawa jamaa wa TCU vp mbona hawatoi afu wanapiga calender kwa sasa npo TCU afu naambiwa leo jion cjui kama watatoa tumuombe MUNGU!

mkuu waulze kwaatakae bahatka kuhama lazma afke kwny chuo chake cha mwanzo au anaenda moja kwa moja alipo hamishiwa!
 
Sasa ndio nikauliza nimekubaliwa au ndio nipo kwenye hati hati msaada Wa Mawazo yenu nauhitaji please
 
Mimi nilipitia chuo moja kwa moja wakanipa barua ya kunikubali wakanambia niipeleke tcu nilipofika mapokezi akanambia nikalipie bank 30000 kwanza ndio nkalipia akaziambatanisha zile form akapanda nazo juu

duh!!!hapo ww nahc chance unayo tlioptia kule kwny system yao ndo tupo kwny hat hat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…