Transfer TCU leo jioni

Na kama mtu anaona wamechelewa kujibu akaamua kujisajili chuo alichokubaliwa mwanzo sababu vyuo vngne vmeeanza masomo je akitokea amebahatka kuhamishwa chuo ni lazma ahame chuo cha kwanza?

Nadhan weng wenu hii kitu hamjaielewa vizur! Iko hivi-- verification ya uhamisho inatokea pale wewe utakapo-admit kuwatumia ile pay-in slip uliyolipia bank baada ya tcu kukutumia ujumbe wa kukutarifu kuwa ombi lako limekubaliwa, kwa hiyo basi kama wewe unaona issue hiz za uhamisho zinazngua na unataka ukaendelee na chuo chako cha awali we beba bag ukaanza kitabu mapema haijalish umeapply for transfer au vp! Ila kama unasubira itabd uvimilie ila ujue kwamba kama umepewa mkopo, issue ya kuhamisha mkopo nayo inachukua muda hatari!
 
wadau hv kama mwanzo ulikosa mkopo halafu transer za kwenda medical related programs kama md ukafanikiwa kupata.mkopo watakupa au itakuwaje.maana naona waliochaguliwa sector ya afya wote wamepata mkopo.anayejua anijuze tafadhal!
 
wadau hv kama mwanzo ulikosa mkopo halafu transer za kwenda medical related programs kama md ukafanikiwa kupata.mkopo watakupa au itakuwaje.maana naona waliochaguliwa sector ya afya wote wamepata mkopo.anayejua anijuze tafadhal!

lazima utapewa mkopo, coz MD ni priority, sema mkopo utachelewa kidogo!
 
jaman kwny website ya udsm nimeona additional admitted applicants batch 8-10 je ndo majibu ya wale waliofanya transfer?aau hayo majina ni yapi?daaah naomben mnijibu humu ndan kwa yoyote mwenye taarifa.
 
Medical related program washatoa majina chek kwenye web ya tcu
 
wale wa medical mambo yenu tayari tembelea web ya tcu kujicheki.
Ingia hapa.
www.tcu.go.tz
 
wakuu naomba mnichekie jina hili kwenye majina ya medical related ,Bunane sweke ,niliomba md muhas ,udom na archibishop james !
 
kwa wale watu wa medical related trasfer majina yameshaingizwa kwenye website
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…