Transfer to medical related programmes

Transfer to medical related programmes

REUBBY

Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
41
Reaction score
1
mwenye tetes juu ya hil atujuze" kwa wale tuliomba Transfer majb tnapewa lini? wengne tlipochaguliwa mwanzo tayar registration imeshaanza" na tnaogopa kwenda ktoa direct cost wakat hatujajua hatima ya maombi yetu"" msaada kwa mwnye tetes kuwa watatoa lin majbu
 
Tuko kwenye mchakato. Mambo yakikaa sawa, tutawajulisha!
 
mwenye tetes juu ya hil atujuze" kwa wale tuliomba Transfer majb tnapewa lini? wengne tlipochaguliwa mwanzo tayar registration imeshaanza" na tnaogopa kwenda ktoa direct cost wakat hatujajua hatima ya maombi yetu"" msaada kwa mwnye tetes kuwa watatoa lin majbu

Kaka mwenyewe nilifanya hio kitu deadline ni leo so may be kesho tuanze kucheck ....we uliomba nn mm nilomba udom nursing
 
Kaka mwenyewe nilifanya hio kitu deadline ni leo so may be kesho tuanze kucheck ....we uliomba nn mm nilomba udom nursing

nliomba KCMC nursing "": iv mtu utaangalia wap kama umechaguliwa?
 
nliomba KCMC nursing "": iv mtu utaangalia wap kama umechaguliwa?

hivi procedure za kuomba transfer umezitoa wapi mkuu?au ndo tuseme ulizisoma ukazielewa nusu?kukutoa hofu tcu walichopost kwny web yao ndo watakavyofanya mkuu...
 
hivi procedure za kuomba transfer umezitoa wapi mkuu?au ndo tuseme ulizisoma ukazielewa nusu?kukutoa hofu tcu walichopost kwny web yao ndo watakavyofanya mkuu...

sasa mkuu c ungefnguka tu kuwa watafnya iv "hapo ningekuelewa zaid"
 
Hapo wanatoa kwa wote mkuu coz transfer bado inaendelea kwa baadhi ya vyuo ambae deadline trh 10
 
Hapo wanatoa kwa wote mkuu coz transfer bado inaendelea kwa baadhi ya vyuo ambae deadline trh 10

Kwahyo kwa mahesabu ya haraka xana, tarh 11 ndo uhakika asilimia hamsini kwenda juu wa hayo majina kuachiliwa kwenye website ya tcu?
 
Wanaposema Bugando kuna Slots 10 za MD wanamaanisha nini watahiniwa?

wanamaanisha kuwa, nafasi zilizobaki kwa MD ni 10. Hivyo wewe na wenzako 9 mnaweza pata nafasi ya kusoma MD kwenye hicho chuo.
 
sasa mkuu c ungefnguka tu kuwa watafnya iv "hapo ningekuelewa zaid"

Njia itayotumika kukufahamisha kama umefanikiwa kuhama chuo itakua ni nja ya sms. Jambo la msingi ni kwamba, watakaopata sms hizo, watupie humu jf ili ambao hawatapata sms, waelewe kua mambo tayari ila wao hawajafanikiwa!
 
Kwa transfer ya medical related programs imefungwa toka jana wa weza tembelea website yao kuthibitisha hilo lakini majina walisema watatoa kwa website yao....ila kwa kozi zingne ndo.walisema kwa simu deadline tareh 10
 
Msaada....Me nimeomba transfer mbili kupitia vyuo tofauti..yaani nimeomba kupewa transfer UDOM na pia SUA..Nilihofia slot kuwa zaweza kujaa nikakosa sasa naomba kujua kama nimefanya makosa
 
Back
Top Bottom