Transfer vacancy request at ESS Utumishi

kipenseli2021

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
1,390
Reaction score
1,431
Wajomba,

Hivi baada ya ku submit transfer vacancy request katika mfumo wa ess utumishi kinachofuata fuata nini, je wanakujibu kama nafasi IPO au?
 
Maswali haya cha ajabu ni kwamba hakunaga anayejibu yaani kila mtu hajui

Huu mfumo jau sana maafisa wahusika nao ukiwauliza kitu wanatupiana mpira tu ni kama nao hawaelewi kitu au kama wanaelewa basi hawana msaada maana kila kitu tunafundishana wenyewe tu
 
ESS ilitengenezwa ili kuweka urasimu wa wafanyakazi ili washindwe kuhama
 
Wajomba,

Hivi baada ya ku submit transfer vacancy request katika mfumo wa ess utumishi kinachofuata fuata nini, je wanakujibu kama nafasi IPO au?
Ukituma Transfer Vacancy Request..
Unasubiri Ipitishwe na Taasisi Uliyopo.kwanza Mkurugenzi wa Taasisi yako akiipitisha..
Ataituma kwenda Destination Insitute / (Taasisi unayotaka kuhamia)...

Taasisi unayotaka Kuhamia kama watakuwa na Nafasi ya Kupokea Mtumishi watakubali Request yako kwahyo wata APPROVE..

wakimaliza Utaletewa Option ya Kuanza Kuinitiate Transfer Sasa..
Na Hapo ndo utaanza Kuomba Maombi ya Uhamisho...
Baada ya Kuomba Taratibu zitaenda kwa Mkurugenzi wako mpaka kwa Katibu mkuu Utumishi..

Na baada ya Kupewa Permit ya Kuhama kutoka Utumishi..
Utahama Rasmi
 
Mimi nimebadilishana na mtu pale kwenye mfumo inasoma

Your exchange vacancy request is approved, You can now Initiate Transfer Exchange out Request.
This exchange request is completed, you have created transfer out exchange request, check in Transfer requests for more information

Hapo kwenye Transfer Requests kila nikiingia taarifa za mwenzangu hazitokei inasema error retrieving partner details

Kwahiyo sielewagi mpaka leo ni hatua gani inafuata baada ya hapo na kila afisa unayemuuliza hana majibu
 
Kwenye "important documents" zao inaonesha hivyo hivyo ila shida inakuja pale mtu anapokuta tofauti na kile walichoeleza kwenye hizo documents zao
 
Asanteeeeee sana ubarikiwe kwa maelekezo mazuri
 
Kwenye "important documents" zao inaonesha hivyo hivyo ila shida inakuja pale mtu anapokuta tofauti na kile walichoeleza kwenye hizo documents zao
Tofauti as In How..?
Ungetoa mfano maybe ningekuwa na Cha kukujibu
 
Mimi nimebadilishana na mtu pale kwenye mfumo inasoma

Your exchange vacancy request is approved, You can now Initiate Transfer Exchange out Request.
This exchange request is completed, you have created transfer out exchange request, check in Transfer requests for more information

Hapo kwenye Transfer Requests kila nikiingia taarifa za mwenzangu hazitokei inasema error retrieving partner details

Kwahiyo sielewagi mpaka leo ni hatua gani inafuata baada ya hapo na kila afisa unayemuuliza hana majibu
Mwenzako ameshakugeuka Amegoma Request...Au ameghairisha so huwezi kuona Information zozote..

So.Ungemconsult mwenzako na Ukamuuliza Kama Mkurugenzi wake amepitisha na kama Kwenye Mfumo...
Au kama Unafahamiana na afisa Utumishi wake angekuambia Ukweli huenda alimtaarifu afisa utumishi kuw ahataki tena Kuhama
 
Nakubali kabisa aisee!!!

Yule mjinga sana kumbe ndiyo maana ameniblock
Aisee nashukuru sana kwa kunifungua hili fuvu
 
Wengine tumetuma request wakuu wa taasis hawazipitishi bas zimekuwa pending na hatuwez kutuma request taasis nyingine
 
Mwenzako ameshakugeuka Amegoma Request...Au ameghairisha so huwezi kuona Information zozote..

So.Ungemconsult mwenzako na Ukamuuliza Kama Mkurugenzi wake amepitisha na kama Kwenye Mfumo...
Au kama Unafahamiana na afisa Utumishi wake angekuambia Ukweli huenda alimtaarifu afisa utumishi kuw ahataki tena Kuhama
Mbona Mimi na mwenzangu wote hatuja badili mawazo yaani ku cancel utaratibu wa kubadilishana na hili tatizo limeendelea kuwepo?? What is the problem??
 
Huwezi Msemea Mtu Unless Uko naye karibu na Umethibitisha Hilo au Una Credential Zake za Kuingia Kwenye Mfumo unaweza Kuona Alichofanya
 
Ukituma Transfer Vacancy Request..
Unasubiri Ipitishwe na Taasisi Uliyopo.kwanza Mkurugenzi wa Taasisi yako akiipitisha..
Ataituma kwenda Destination Insitute / (Taasisi unayotaka kuhamia)...

Taasisi unayotaka Kuhamia kama watakuwa na Nafasi ya Kupokea Mtumishi watakubali Request yako kwahyo wata APPROVE..

wakimaliza Utaletewa Option ya Kuanza Kuinitiate Transfer Sasa..
Na Hapo ndo utaanza Kuomba Maombi ya Uhamisho...
Baada ya Kuomba Taratibu zitaenda kwa Mkurugenzi wako mpaka kwa Katibu mkuu Utumishi..

Na baada ya Kupewa Permit ya Kuhama kutoka Utumishi..
Utahama Rasmi
mim nimesubmit hii request na ipo destination organization tokea trh 22/01 ila haijafanyiwa kazi yaani kuhama kupitia huu mfumo ni mtihani. lakini pia taasis unayotuma request kama hawana budget system inakataa mapema kabisa (Tha vacancy is not budgeted)
 
Back
Top Bottom