kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
ESS ilitengenezwa ili kuweka urasimu wa wafanyakazi ili washindwe kuhamaMaswali haya cha ajabu ni kwamba hakunaga anayejibu yaani kila mtu hajui
Huu mfumo jau sana maafisa wahusika nao ukiwauliza kitu wanatupiana mpira tu ni kama nao hawaelewi kitu au kama wanaelewa basi hawana msaada maana kila kitu tunafundishana wenyewe tu
Ukituma Transfer Vacancy Request..Wajomba,
Hivi baada ya ku submit transfer vacancy request katika mfumo wa ess utumishi kinachofuata fuata nini, je wanakujibu kama nafasi IPO au?
Kwenye "important documents" zao inaonesha hivyo hivyo ila shida inakuja pale mtu anapokuta tofauti na kile walichoeleza kwenye hizo documents zaoUkituma Transfer Vacancy Request..
Unasubiri Ipitishwe na Taasisi Uliyopo.kwanza Mkurugenzi wa Taasisi yako akiipitisha..
Ataituma kwenda Destination Insitute / (Taasisi unayotaka kuhamia)...
Taasisi unayotaka Kuhamia kama watakuwa na Nafasi ya Kupokea Mtumishi watakubali Request yako kwahyo wata APPROVE..
wakimaliza Utaletewa Option ya Kuanza Kuinitiate Transfer Sasa..
Na Hapo ndo utaanza Kuomba Maombi ya Uhamisho...
Baada ya Kuomba Taratibu zitaenda kwa Mkurugenzi wako mpaka kwa Katibu mkuu Utumishi..
Na baada ya Kupewa Permit ya Kuhama kutoka Utumishi..
Utahama Rasmi
Asanteeeeee sana ubarikiwe kwa maelekezo mazuriUkituma Transfer Vacancy Request..
Unasubiri Ipitishwe na Taasisi Uliyopo.kwanza Mkurugenzi wa Taasisi yako akiipitisha..
Ataituma kwenda Destination Insitute / (Taasisi unayotaka kuhamia)...
Taasisi unayotaka Kuhamia kama watakuwa na Nafasi ya Kupokea Mtumishi watakubali Request yako kwahyo wata APPROVE..
wakimaliza Utaletewa Option ya Kuanza Kuinitiate Transfer Sasa..
Na Hapo ndo utaanza Kuomba Maombi ya Uhamisho...
Baada ya Kuomba Taratibu zitaenda kwa Mkurugenzi wako mpaka kwa Katibu mkuu Utumishi..
Na baada ya Kupewa Permit ya Kuhama kutoka Utumishi..
Utahama Rasmi
Tofauti as In How..?Kwenye "important documents" zao inaonesha hivyo hivyo ila shida inakuja pale mtu anapokuta tofauti na kile walichoeleza kwenye hizo documents zao
Mwenzako ameshakugeuka Amegoma Request...Au ameghairisha so huwezi kuona Information zozote..Mimi nimebadilishana na mtu pale kwenye mfumo inasoma
Your exchange vacancy request is approved, You can now Initiate Transfer Exchange out Request.
This exchange request is completed, you have created transfer out exchange request, check in Transfer requests for more information
Hapo kwenye Transfer Requests kila nikiingia taarifa za mwenzangu hazitokei inasema error retrieving partner details
Kwahiyo sielewagi mpaka leo ni hatua gani inafuata baada ya hapo na kila afisa unayemuuliza hana majibu
Ata mm naona maana mfumo watu hawajawa train na wanaotakiwa ku approval hawajui.ESS ilitengenezwa ili kuweka urasimu wa wafanyakazi ili washindwe kuhama
Nakubali kabisa aisee!!!Mwenzako ameshakugeuka Amegoma Request...Au ameghairisha so huwezi kuona Information zozote..
So.Ungemconsult mwenzako na Ukamuuliza Kama Mkurugenzi wake amepitisha na kama Kwenye Mfumo...
Au kama Unafahamiana na afisa Utumishi wake angekuambia Ukweli huenda alimtaarifu afisa utumishi kuw ahataki tena Kuhama
Utofauti ni huo ambao umenijibu kwenye post yako kwamba amecancel ndiyo maana naona tofauti.Tofauti as In How..?
Ungetoa mfano maybe ningekuwa na Cha kukujibu
Hahahaha sio mjinga amebadili maamuziNakubali kabisa aisee!!!
Yule mjinga sana kumbe ndiyo maana ameniblock
Aisee nashukuru sana kwa kunifungua hili fuvu
Mbona Mimi na mwenzangu wote hatuja badili mawazo yaani ku cancel utaratibu wa kubadilishana na hili tatizo limeendelea kuwepo?? What is the problem??Mwenzako ameshakugeuka Amegoma Request...Au ameghairisha so huwezi kuona Information zozote..
So.Ungemconsult mwenzako na Ukamuuliza Kama Mkurugenzi wake amepitisha na kama Kwenye Mfumo...
Au kama Unafahamiana na afisa Utumishi wake angekuambia Ukweli huenda alimtaarifu afisa utumishi kuw ahataki tena Kuhama
Huwezi Msemea Mtu Unless Uko naye karibu na Umethibitisha Hilo au Una Credential Zake za Kuingia Kwenye Mfumo unaweza Kuona AlichofanyaMbona Mimi na mwenzangu wote hatuja badili mawazo yaani ku cancel utaratibu wa kubadilishana na hili tatizo limeendelea kuwepo?? What is the problem??
Yes nnazo na ninaonaHuwezi Msemea Mtu Unless Uko naye karibu na Umethibitisha Hilo au Una Credential Zake za Kuingia Kwenye Mfumo unaweza Kuona Alichofanya
Unachosema Ni Imposible situation kama Umefanya kama nilivyoandika Kwenye $4 na Imekuja Namba #5 na Shida Haikuwa #9..Yes nnazo na ninaona
mim nimesubmit hii request na ipo destination organization tokea trh 22/01 ila haijafanyiwa kazi yaani kuhama kupitia huu mfumo ni mtihani. lakini pia taasis unayotuma request kama hawana budget system inakataa mapema kabisa (Tha vacancy is not budgeted)Ukituma Transfer Vacancy Request..