Kiukweli wale tuliofanya transfer ya vyuo bado hali yetu ni ngumu. Pesa hakuna. Hatuelewi ni lini hizo pesa zitaletwa kwenye vyuo tulivyopo. Mwenye updates za hili suala anijuze please..
Pole kijana, ila kiukweli pesa yenu hua inachukua siku 90 kutoka siku chuo chako kilipofunguliwa. Vilevile unaweza kupata au kukosa kabisa. Watch out.!