symphorianicky
Member
- Sep 16, 2014
- 48
- 5
transfer hazijatoka nilkuwa nipo udsm sa mkopo nimekoswa vp kwa kuwa nimeomba duce jamaa watanionea huruma nipate mkopo?
hao watu alfu 28 sio wengine bali nawewe nimmoja wapo ambao hamkua kwenye bajeti.. ivyo sidhani kama kuna kitu itasaidia
eti kama unasubiri transfer, registration utafanya au mpaka majina ya transfer yatoke?
hapo usubiri ujue kama imetiki au ​laa..eti kama unasubiri transfer, registration utafanya au mpaka majina ya transfer yatoke?
hapo usubiri kwanza ili ujue kama mambo yametik au ​laa..eti kama unasubiri transfer, registration utafanya au mpaka majina ya transfer yatoke?