FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Yaani hii hali ni kila siku, tumeshatoa pesa hadi tumechoka, sasa hali hii hadi lini, magenerator yanatutia hasara, mafuta bei juu!!! Sasa hii manake nini??!!!Kweli Jiwe alikuwa mwamba. Enzi za jiwe usingesikia upuuzi huo. Manake Magufuli angeshuka na uongozi wote wa eneo hilo
Ni washenzy tu!! Wanatufanyia kusidi, 20k kwa mwezi ni karbu milioni wanachukua kwenye transformer hii tu, usipowapa hela wanaangalia tu halafu wanaondoka, hawatengenezi, washezny hawa!!!Meneja wa hilo eneo ajitafakari
Mkuu mtaa huu upo wilaya gani?Hilo transformer kila siku TANESCO wanapigiwa simu, wakija wanataka pesa kulitengeneza fuse yake, wanaitegesha tegesha kihuni huni tu ili ifanye kazi kidogo, ikifika kesho yake inazima tena, ukiwapigia simu wanakuja ila wewe uliyewapigia inabidi uwape pesa watengeneze, wanachokonoa chokonoa fuse inafanya kazi, kesho inazima tena.., mchezo ndio huo kila siku.
Jana wamepewa pesa wakatengeneza, leo asubuhi likazima tena, toka asubuhi watu wamegoma kupiga simu, hakuna anaetaka tena kutoa pesa yake. Imagine Kariakoo hii panakosa umeme kila siku, watu wanaingia hasara ya mamilioni kwa sababu ya fuse, kweli?!!
KariakooMkuu mtaa huu upo wilaya gani?
Dar kabisa yani? Hawa watu wanaakili gani aisee?Kariakoo
Acha tu, baada ya kuoandisha uzi huu wamelitengeneza fasta fasta, ndio wamerudisha umeme muda si mrefuDar kabisa yani? Hawa watu wanaakili gani aisee?
Sio kwamba wametegesha tena?Acha tu, baada ya kuoandisha uzi huu wamelitengeneza fasta fasta, ndio wamerudisha umeme muda si mrefu
Daah, mi kazi itakuwa kuuvurumusha huu uzi na kumtukana meneja tuSio kwamba wametegesha tena?
Huyu Rais wameshamuona ni bibi yao!Daah, mi kazi itakuwa kuuvurumusha huu uzi na kumtukana meneja tu
Yaan ni washenzy hawa watu, wanachelewa kwa makusudi kabisa!Kuna Transformer ipo huku Tabora nayo ina tabia ya kukata fuse, mara Arrestor yaan shida tupu. Ukiwapigia simu wanakuja baada ya wiki moja. Ikawa ndo mchezo wao, sasa mimi nna biashara ya mashine eneo hilo so mi ndo nikawa naumia zaidi umeme ukikaa wiki haupo. Siku moja ikaunguza Arrestor wakaja baada ya siku 8 wakanambia niwe nawapa hela ili wawe wanawahi kuja kukarabati nikawajibu sawa. Nmeamua kununua mashine inayotumia mafuta ya Diesel umeme hata ukikata wiki sawa tu. Linchi la hovyo sana hili kilasiku najuta kuzaliwa Tz.
Kuna kipindi ilikuwa fuse ikitoka sitoi taarifa TANESC0 namtafta kishoka nampa hela anakuja kutengeneza kimyakimya. Lakn kukawa na changamoto zingine inabidi kiletwe Kifaa kipya kutoka TANESC0 hapo lazma ujute.Yaan ni washenzy hawa watu, wanachelewa kwa makusudi kabisa!