Wakuu habari...Nina jambo la dharula kidogo. Inabidi nitume quotation hivyo naomba mwenye kuwa na rates wanazolipa WFP kwenye kusafirisha mizigo yao from Dsm and Isaka to EA countries anisadie Tafadhali. Deadline ni Leo. Naomba pm au text kwenda 0654000253 au email to g3muhas@gmail.com