Buggy JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 236 Reaction score 60 Oct 20, 2011 #1 Naomba mnijuze gharama za ku-translate document (legal) kutoka English kwenda Kiswahili. Je, nitachajiwa kwa page au kwa idadi ya maneno. Na ni kiasi gani. Naomba mnisaidie.
Naomba mnijuze gharama za ku-translate document (legal) kutoka English kwenda Kiswahili. Je, nitachajiwa kwa page au kwa idadi ya maneno. Na ni kiasi gani. Naomba mnisaidie.