Transport agents

bond1

Member
Joined
Jun 22, 2014
Posts
65
Reaction score
27
Habari JF members. Naomba msaada kune anajua transport agents wakusafirisha mzigo inje transit .Route zaMalawi,Zambia naZimbabwe.
 
onana na na Rich Pol atakusaidia
Habari JF members. Naomba msaada kune anajua transport agents wakusafirisha mzigo inje transit .Route zaMalawi,Zambia naZimbabwe.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ndio shughuli zangu hizo mkuu wasiliana nami kwa no.0762525846
 
Habari JF members. Naomba msaada kune anajua transport agents wakusafirisha mzigo inje transit .Route zaMalawi,Zambia naZimbabwe.

Nina orodha ya agents wote nchini, tuma email yako nikutumie.
 
0712700720, miaka 14 ya uzoefu, east and central Africa..
 
Aisee mbona kauliza swali la kawaida lakini majibu yote yapo kiujanjaujanja na kimitego.

Kipi cha ajabu mkuu..!!
Mbona majibu yote nisawa tu, ingawa ni majibu huria.
Kipi kimekuchanganya Aiseee...?
 
Kipi cha ajabu mkuu..!!
Mbona majibu yote nisawa tu, ingawa ni majibu huria.
Kipi kimekuchanganya Aiseee...?

We Mapengo umeona Agent gani katwaja hapo,zaidi ya watu kumpeleka chaka jamaa
Kuna makampuni vimeo,sasa ukiona kila mtu anasukumia kwenye Corridor lazima uwe mjanja.
Mjini hapa
 
Jamani, mwenye ufahamu juu ya upatikanaji wa kazi ya kusafirisha/kuendesha gari ndogo na wastani kutoka kwa mawakala Dsm na kupeleka boda au kuvusha nje ya Tz, tafdhari naomba msaada huo...japo kuna mtu aliniambia si rahisi kupata kama simjui mtu. Kimsingi kazi hiyo naiweza sana tu, nina uzoefu, nina leseni valid, nina familia, driving ni moja ya interest na hobby yangu, hivyo nina uhakika wa kutumikia nafasi kwa mapenzi na kwa umakini (Life is all about struugling....regardless your status), naombeni msaada, maana si vema kutumia ujuzi wa driving pasipo kuingiza pesa kisa eti ni graduate...fanya tu kazi za ugraduate zitakukuta njiani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…