Transport infrastructure in Kenya

Weka na mitaa ya mabanda ie mathare kibera dondora githurai etc
 
Kweli, ongeleni maana sisi TANZANIA bado tunayo ndoto ya kufikia hapo wenda tukafika someday.
 
Hongereni majirani kwa kujikwamua kwenye miundo mbinu..ila sasa hii A2 uhuru highway mbona wameacha wazi in such a way kwamba watu wanakatiza highway sehemu ambayo si ya kivuko cha waenda kwa miguu?ama mi ndo sielewi vizuri haya makitu mkuu
Hehe..you have a keen eye. There are zebra crossing. But at times people cross in areas of their convinience where at times there are no zebra crossings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…