Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakubwa wa kazi
Mimi ni mbobezi wa taaluma ya usafirishaji, nikijikita zaidi katika usafirishaji wa aridhi (land transport) nikiwa na taaluma ya GPS tracking,
Nipeni mchongo wa kazi wakubwa
Mtaa mgumu sana huu,
www.alistairgroup.com
Baada ya wiki kadhaa utapokea email ya aptitude test.
Itategemea na majbu yako ukijibu fresh watakuita kweye interview yao. Ukivurunda hata huko hawakuitiNikashaijibu ndo napata kazi
Kwa uandishi alioandika ni rahisi kukosa kazi moja kwa moja GPS tracking ni kisoftware kidogo tu hata wenye boda boda huwa wanakifunga kujua bodaboda iko wapiJizungumzie wewe kwanini unamsemea huyo mtu!!!!
Wabongo mnaujinga wa kutupwa mnaamini katika vyeti sana kuliko uwezo wa mtu katika utendaji kazi,Kwa uandishi huu wa CV mtu akikupa kazi ni mjinga wa kutupwa
CV TU KUANDIKA HUJI SEMBUSE KAZI NDIO UTAWEZA MJINGA WEWE
Unamatatizo kwa hiyo wewe unadhani kuwa hiyo ndp cv yanguKwa uandishi alioandika ni rahisi kukosa kazi moja kwa moja GPS tracking ni kisoftware kidogo tu hata wenye boda boda huwa wanakifunga kujua bodaboda iko wapi
Wafungaji wengi darasa la saba veta au form four failure SIO KITU KIKUBWA hicho ndio maana anatakiwa kuandika CV YAKE vizuri
watu wengi hukosa kazoi sababu ya ujinga kama wa huyu
Wewe ndio mjingaWabongo mnaujinga wa kutupwa mnaamini katika vyeti sana kuliko uwezo wa mtu katika utendaji kazi,
Unaombaje kazi bila kuandika CV? umekuja kujaza ujinga humu jamii forums?Unamatatizo kwa hiyo wewe unadhani kuwa hiyo ndp cv yangu
Ulitaka nianike kila kitu, unajikuta much know sana, kama huwezi msaidia mtu si unavunga tu
Utamsaidiaje mtu ambaye hata CV yake huna aweza kuwa kikongwe wa miaka 80 ambaye hata kuamka kuja kazini tu shidaUnamatatizo kwa hiyo wewe unadhani kuwa hiyo ndp cv yangu
Ulitaka nianike kila kitu, unajikuta much know sana, kama huwezi msaidia mtu si unavunga tu
KunaCheti kulke ndiko kuna wathibitishaji wa uwezo wa mtu
Kazini sio sehemu ya kumpima mtu uwezo wa mtu asiye na vyeti akapimwe huko vyuoni na VETA
Chukulia mtu hajasoma udaktari kabisa wa operation halafu anakuja anakuambia mwajiri usiangalie vyeti mimi vyeti sina ila naweza kupasua kichwa cha mtu na kufanya operation yeyote!!! Huo ujinga kawadanganye wajinga wenzio
Au ohh mimi sijawahi somea popote ila nina uwezo wa kuendesha ndege nipe uone
Kwani wewe ni kwako humu!!Unaombaje kazi bila kuandika CV? umekuja kujaza ujinga humu jamii forums?
NDIOKwani wewe ni kwako humu!!