Transsion Holdings: Kampuni inayomiliki Kampuni zinazotengeneza simu aina ya Tecno, Itel, Infinix na Spice

davibby

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
318
Reaction score
245
Kampuni moja yenye brand nne sokoni. Kampuni hii yenye makao yake makuu Shenzhen China imejikita zaidi Africa kwenye biashara zaidi ya simu za mkononi.

Kampuni hii kwenye upande wa simu za batani ambazo hujulikana kama future phone ilifanikiwa sana kumiliki share kubwa sana kwa sababu simu zake zilikuwa za bei ya kawaida(affordable)kwa waafrika wengi ambao kipato chao ni cha chini ukilinganisha na makampuni mengine kama nokia samsung na nyinginezo.

Wachina hawa awali walikuwa na brand moja sokoni ya Tecno pekee na baadae wakatuletea Itel kama brand ya hali ya chin zaid ili mwenye kupati cha chini zaid aweze kununua simu kutoka brandi hii.

Wachina hawa wenye werevu wakaja na brand nyingine tena sokoni ya Infinix ili hali kuweza kulete ushindano Sokoni ili hali wazidikuliteka soko huku kampuni ni ile ile inayonufaika Wachina wawa wanajua kutuchezea akili kwel kwel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu na ukiwa makini utagundua makampuni ya bia na soda yanafanya vitu hivyo ili kuleta ladha na kuwakamata wateja wote, hata gengeni unakuta mtu anauza matunda mbali mbali ili kuwapata wote walio wateja na ndo biashara ipasavyo kuwa mkuu
 
Ila hawa wa bia na soda si unajua ni kampuni flan. Ila hawa wamekuwa wajanja zaid na kufanya hzo brand zingine uone kama zinajitegemea kumbe ni walewale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hawa wa bia na soda si unajua ni kampuni flan. Ila hawa wamekuwa wajanja zaid na kufanya hzo brand zingine uone kama zinajitegemea kumbe ni walewale

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli mkuu na ni namna ya kuvuruga akili zetu ila mwisho wa siku watengenezaji ni wale wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…