Trapped to a married man

Inawezekana ndio au hapana nimeshindwa kuifafanua situation hii vizuri
Lakini naomba tu nikwambie nipo wakati mgumu
Umeshawahi kupenda watu wawili kwa wakati mmoja?
Uko smart sana.......but najiuliza.........kitumbua wote wanakikula?means unawapanga jinsi upendavyo.......hivi hujisikii kinyaa mdogo wangu........???? ila jua unafanya U-MALAYA,,,, kama utauweza uke WENZA ongeza mauno mkamilishe mambo.....kuwa makini sana na hayo uyafanyayo....hakuna BIN-ADAMU wa kiume anapenda uzandiki huo....ujana maji ya moto.......ila wanawake nyieeee....
 
Nimeipenda hii
 
Na wake 2 wadogo na wote wana watoto na mke mkubwa anawajua, na napanga kulala zamu, ila wote wako under my control na ni warembo kupindukia jamani, mimi na nguvu sana za mwili na roho, fedha Mola kanijalia za kuwatunza za kutosha na business kadhaa, sinywi pombe, na uwezo wa kutosha, ila siongezi mke tena, na mambo ya mapenzi sidhani kama kuna mtu anaweza kukushauri, ni kupoteza muda wako huku.

Utamu na uchungu au uzuri na ubaya wa wapenzi wawili anayejua kwa 100% ni nyie wawili.. Hivyo tumia muda wako, angalia kila kitu, tathmini, take time, fanya maamuzi, sbb kumbuka binadamu tunabadilika, leo mapenzi yanaweza kuwa matamu sana, kesho ni machungu sana na kuachana, kikubwa fanya maamuzi yako mwenyewe.
 
Aiseee
 
Ni miaka minne sasa.
Hivi kuna mrejesho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…