Travel Agent business: Usajili na Sheria zinazoihusu

Travel Agent business: Usajili na Sheria zinazoihusu

Ottician

Senior Member
Joined
Jul 6, 2019
Posts
103
Reaction score
81
Wakuu habari za wakati huu,

Naomba mwongozo Kwa wataalamu wa sekta hii. Ni hatua gani za kufata kusajiri na ku operate travel agency inayopeleka watanzania nje ya nchi Kwa shughuli utalii, masomo, kazi na shughuli zinazoendana na hizo.
Natanguliza shukrani za dhati!!
 
Hakuna wazoefu kabisa kwenye hili???[emoji848][emoji848]
 
Kuna huu uzi unahusu masuala ya kufungua kampuni,ingia ukaulize maswali yako kuna wataalamu watakujibu.
 
Kuna huu uzi unahusu masuala ya kufungua kampuni,ingia ukaulize maswali yako kuna wataalamu watakujibu.
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom