Asante mkuuKuna huu uzi unahusu masuala ya kufungua kampuni,ingia ukaulize maswali yako kuna wataalamu watakujibu.
Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni
Habarini za leo wanajamii, Leo nimeona kidogo nitumie fani yangu ya ushauri wa maswala ya biashara na uchumi kuweka mambo muhimu katika uendeshaji wa biashara kwa nchi yetu pendwa ya Tanzania. Hapo miaka ya nyuma kulitokea na watu wengi waliosajili makampuni (LTD Companies) na wengine walienda...www.jamiiforums.com