Travel Agents gani unaweza kutumia ukitaka kwenda Europe?

Travel Agents gani unaweza kutumia ukitaka kwenda Europe?

Ray of light

Senior Member
Joined
Sep 8, 2018
Posts
154
Reaction score
298
Habarini wanajukwaa,

Nimekaa nikajiuliza hivi kuna travel agents hapa Dar au Tanzania ambao unaweza kuwatumia endapo unataka kwenda nchi za Europe kwa ajili ya utalii. Maana naona sehemu kubwa ni wale wa kuwapeleka watu Dubai na labda China.

Nawasilisha.
 
hairuhusiwi na visa huwezi pata ukisema unaenda kutalii
Unaweza kwenda Ulaya kwa kutumia VISION IMMIGRATION CONSULTANCY, wapo myfair plaza. Ukiwa na fedha ya kutosha unaweza kwenda Nchi yoyote dunia.
 
Back
Top Bottom