Acha Dhambi
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 145
- 41
Nimekataa tiketi ya Mwanza kuandikiwa muda wa kuanza safari ni saa kumi na kuripoti ni saa tisa na nusu ila mpaka saa kumi na mbili bus halijaingia Mbezi yaani ni shida na usumbufu mwingi na hakuna anayeshughulika na sisi yani kama watoto yatima