TRC mnazidi kufeli kila uchwao.

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanzisha mpango wa kununua injini za dizeli ili kuhakikisha huduma ya usafiri wa reli ya kisasa (SGR) bila kikwazo endapo umeme utakatika.


Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa, amethibitisha hilo na kuelezea kuwa tayari kampuni moja imebainishwa kuzalisha injini hizo.


Huduma ya reli kutoka Dar hadi Morogoro imekuwa ikikumbwa na changamoto ya umeme mara kadhaa na kusababisha abiria kukwama safarini kabla ya kufika wanakokwenda.

-------------------------------------------
Taarifa hii inakuwa mwiba mkali sana kwa machawa na wale wazee wa mapambio. Mkipewa mawazo na watu sio kila wakati mnatakiwa kuwaona ni wapinzani. Sanja boy umefeli sana wewe pamoja na timu yako.


Mlipoambiwa kuwa mnakwend kufanya project ambayo baadaye mtarudi kule kule, mliwaona wakosoaji ni chadema. Mlisema na kuwaaminisha watanzania kuwa umeme ni wa uhakika na treni hazitopata tatizo la kukatika.

Enewei nyie ndo wateulewa Rais! Wote tuseme kwa sauti moja kuwa MAMA ANAUPIGA MWINGI! Tusubirie machapisho na hongera nyingi kwa TRC
 
Haiwezekani mkakimbiza Mwenge halafu mkawa Na mafanikio ya kudumu.

Mwisho wa siku laana ya Mwenge inakupeleka kulala kwa huzuni

Soma Isaya 50:11.

TRC.... Imepiga hatua tatu mbele, imerudi nyuma hatua 300.

kwanini wasikomeshe ubadhirifu Na hujuma kwenye miundombinu ya reli ya Umeme?

Kadogosa, CCM Na Mwenyekiti wao wanafanya haya makusudi, kwani kwenye mchakato wa MANUNUZI ndio kuna wizi MKUBWA WA FEDHA ZA umma
 
Umeme ukikatika injini za mafuta ya dizeli zinaunganisha 😃 ni ngumu sana abiria kufahamu kama umeme umekatika 😃 MAMA ANAUPIGA MWINGI!
 
Maskini. Utashangaa diesel itatumika zaidi ya umeme aha ha ha aa
Umeme ni nishati ya gharama nafuu sana. CCM ni chama Cha mijitu iliyolaaniwa. Inawaza wizi tu Na wala Hawana ndoto ya kulivusha taifa letu.

Hebu jiulize kuanzia kimeanza kujiita chama Cha Mapinduzi kimefanya Mapinduzi GANI?

Mwendokasi ni mradi mfu hivi sasa.

Umeme wa gesi haujawahi kutusaidia

Upumbavu ndio umetamaliki halafu jitu kama Lucas Mwashambwa linashabikia upumbavu huu Na kusema mama anatosha, Pumbavu kabisa.
 
Inasikitisha sana. Nikiangalia hali ya mwendo Kasi. Kwa kweli CCM ni laana Kwa Taifa
 
Pole Mkuu ndo nchi yetu 😔
 
nimekata tamaa kabisa,kadagosa kama CEO wa trc unaongoza huu ujinga kabisa!
 
nimekata tamaa kabisa,kadagosa kama CEO wa trc unaongoza huu ujinga kabisa!
Mbuzi mwekundu, Kadogosa ni ndugu yako. Nchi isiyo Na Sheria Kali hakika ni shamba la Bibi.

Great failure kama Kadogosa ni wa kumpiga risasi hadharani
 
Ni juzi kati tuu hapo yule mtusi alikua anatamba na kuitamka Tanzania kama kinara wa usamabazaji umeme afrika alafu umeme tuu wa kuendesha treni haupo 🤔🤔 sasa wale waimba pambio na machawa wa bibi chaudere waliotukana na kudhihaki watu wataficha wapi sura zao 🤔🤔 dj waite kati na ngoma ya mtoto kautaka tuendelee kuupiga mwingi🤣🤣
 
Unaanzishaje SGR wakati una umeme wa mafungu,anyway ngoja walete hizo engine dizeli ukute nazo ni used,watendaji wa serikali kwa kucheza na ma gap hawajambo
Na diesel ⛽⛽⛽ ni frusa kwao 🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja aupige mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…