TRC salary scale

TRC salary scale

Wadau habari..nilikua napenda kufahamu kuhusu trc salary scale kwa ngazi ya diploma inakua vipi
Ni kawaida tu kama mishahara ya serikali, Tsh 500,000+

Ingawa kwasababu ya kazi nyingi, sometimes unakuwa kazini mpaka usiku unaweza kuwa unapata Over time
 
Back
Top Bottom