TRC sikilizeni ushauri wa huyu Mkenya Ken Macharia kuhusu ucheleweshaji kukata tiketi na ukaguzi

Mshauri atumie hii link: TICIDIS Online Sales kukata tiketi mwenyewe mtandaoni ili aepuke usumbufu wa dirishani
 
Sikiliza kwanza wewe hajaongelea train kuchelewa kuondoka imeondoka on time kaongelea ucheleweshaji wakati wa kukata tiketi na kuchelewesha kwenye ukaguzi tiketi Usimlishe maneno ambayo hakuongea

Usiwe na mihemuko isiyo na tija
Ndugu tusipo kubali kukosolewa hatutajua wapi tumepakosea na tujirekebishe vipi.
 
Ken spent five minutes showing the train toilet?
Inasaidia

Alivyoionyesha nenda kule kwenye comment section Kuna mkenya kaona kaponda treni Yao ya SGR kuwa kwanza ni za diesel sio electric ya hovyo ukilinganisha na ya Tanzania kuwa Wakenya wamekuwa conned na viongozi wao
 
vipi hajazungumzia kuhusu ule mwendokasi wenu unaokaribia kufa kutoka kimara hadi mjini? nchi ina matatizo mengi sana hiyo, nadhani kuna kalaana mahala fulani, ila ngoja tuone mwisho wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…