TRC: Treni moja ya mizigo itakuwa sawa na malori 500

TRC: Treni moja ya mizigo itakuwa sawa na malori 500

hawa jamaa bwana, hivi nani aiiua reli yetu ya kati miaka ya 90?? kama si hawa hawa then wakaagia maroli kibao.
 
Tatizo ishu za kitaifa zinasemewa sehemu sio, yaani kwenye mkutano Wa chama unaenda kueleza mambo ya treni? Hii ndio mizigo inayofaa kubebwa na hili treni!
 
Sasa tutauziwa malori kwa Bei ya fuso, Asante Serikali ya awamu ya tano kwa kupunguza Bei za malori
 
Mizigo yote ya kwenda Kuanzia Mbeya haikutakiwa kupita barabarani, ilitakiwa ipite relini hadi Mbeya.
Mizigo yote ya Mikoa ya reli ya kati haikutakiwa pita barabarani.

Hii ingesababisha barabara kudumu, ingesababisha bandari kupokea kizigo mingi, ingesababisha misigo kuwahi fika
 
Itapoteza ajira za madereva wangapi? Itasababisha kufungwa kwa vituo vya mafuta vingapi? Itapoteza ajira za utingo wangapi? Itapoza ajira za nafundi magari wangapi? Itaua maduka ya spare mangapi?

Tafakari kwanza
 
Back
Top Bottom