Tatizo ishu za kitaifa zinasemewa sehemu sio, yaani kwenye mkutano Wa chama unaenda kueleza mambo ya treni? Hii ndio mizigo inayofaa kubebwa na hili treni!
Mizigo yote ya kwenda Kuanzia Mbeya haikutakiwa kupita barabarani, ilitakiwa ipite relini hadi Mbeya.
Mizigo yote ya Mikoa ya reli ya kati haikutakiwa pita barabarani.
Itapoteza ajira za madereva wangapi? Itasababisha kufungwa kwa vituo vya mafuta vingapi? Itapoteza ajira za utingo wangapi? Itapoza ajira za nafundi magari wangapi? Itaua maduka ya spare mangapi?