TRC: Tumewakamata Watu kadhaa waliokuwa wanafanya ulanguzi wa tiketi za SGR na kufanya udanganyifu

Kifuatacho ITV.......

SANAA NA WASANII.
 
Hio ndio Bongo sio kujichomeka tu yule mtoa huduma anaweza akaja kuwachomeka watu wake waliofika muda huo huo na nyinyi mmepanga foleni muda mrefu na akawahudumia na msimfanye kitu hio ndio Bongo
Ni kweli kabisa usemalo mkuu,na unaweza kuta hata hao wafanyakazi wa TRC wengine hizo nafasi za kazi nao wamezipata ki unjanja unjanja tu na ndiyo maana hawako serious sana na kazi yenyewe!!
 
Mzuka wanajamvi!

Ni matumaini yangu mubuheri wa afya popote mlipo na Mungu anaendelea kutupigania sote.

Kwa upande wangu shega tu siwezi lalamika.

Nilikuwa nasoma mahali TRC imewakamata baadhi ya abiria na watu wananunua tiketi nyingi sana za treni ya umeme.

Nikawa najiuliza kwa nini hawa watu wananunua tiketi nyingi hivi? Na kwa nini wakamatwe sasa kwasababu wananunua kihalali na hela zao. Ama wanaenda kuziuza na je wakiziuza nani mwenye akili atanunua kutoka kwao? Au wanadhani kuna udalali hadi kwenye treni ya umeme?

Ila mwafrika hasa mibongo nikuyadhibiti tu. Ukiyaacha hivihivi yatajisaidia hadi kwenye viti.

Naskia sasa hivi ni mwendo wa kuscan tiketi kupanda na kushuka kama umedanganya Alarm inalia.
 
Treni ina idadi maalumu ya viti na abiria,sasa tiketi zinaponunuliwa na watu wachache wengi wanakosa usafiri,sasa wakishakosa hawa walionunua nyingi wanaziuza tena kwa waliokosa kabla treni kuondoka kwa bei ya juu....
 
Tabia za wapiga debe, madalali na vishoka wa stendi za bus zimefika hadi kwenye biashara ya tiketi SGR!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…