TRC Tunawakumbusha mlisema Mnaanza Majaribo SGR July 2023

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hi Great thinker.

Nitumie wasaa huu kueakumbusha TRC Kuwa baada ya kushindwa kufanya majaribio Mei 2023. Kwa walichodai ni sababu Za misingi

Sasa ni mwezi wa Saba nao umeshagawa Kati, waliahidi wataanza majaribio. Nawakumbusha issue ya Bandari haijatusahaulisha hili tunasubiri ngonjera zenú tena.

Wakati huo Huo. Bunge mjiandae kujadili report ya CAG. Hilo hatujasahau pia.
 
Kamati ni nyingi zina viporooooo ikuwapi ile ikiyopewa jukumu la ukwapuajibwa pesa pale hazina enzi wakidai wanamtibu bwana yuleee..

Tena ikowapi ripoti ya kamati za kariakoo janga la motooo

Na tena ile ripoti ya tume mahususi ya wafanya biashara na TRA kariakooo

Hizi tume na kamati vyema zikawa kimyakimyaa kuliko kwenda hewani na kuiacha hewani umma na maswali yasiyo na majibu!!!
 
Hi Great thinker.

Nitumie wasaa huu kueakumbusha TRC Kuwa baada ya kushindwa kufanya majaribio Mei 2023. Kwa walichodai ni sababu Za misingi

Sasa ni mwezi wa Saba nao umeshagawa Kati, waliahidi wataanza majaribio. Nawakumbusha issue ya Bandari haijatusahaulisha hili tunasubiri ngonjera zenú tena.

Wakati huo Huo. Bunge mjiandae kujadili report ya CAG. Hilo hatujasahau pia.
 
Hi Great thinker.

Nitumie wasaa huu kueakumbusha TRC Kuwa baada ya kushindwa kufanya majaribio Mei 2023. Kwa walichodai ni sababu Za misingi

Sasa ni mwezi wa Saba nao umeshagawa Kati, waliahidi wataanza majaribio. Nawakumbusha issue ya Bandari haijatusahaulisha hili tunasubiri ngonjera zenú tena.

Wakati huo Huo. Bunge mjiandae kujadili report ya CAG. Hilo hatujasahau pia.
Nchi hii ahadi sio kitu cha kuzingatia sana, utakufa kihoro. Mradi ukiahidiwa kukamilika mwaka fulani, ongeza miaka 2 kwa uhalisia.
 
Hi Great thinker.

Nitumie wasaa huu kueakumbusha TRC Kuwa baada ya kushindwa kufanya majaribio Mei 2023. Kwa walichodai ni sababu Za misingi

Sasa ni mwezi wa Saba nao umeshagawa Kati, waliahidi wataanza majaribio. Nawakumbusha issue ya Bandari haijatusahaulisha hili tunasubiri ngonjera zenú tena.

Wakati huo Huo. Bunge mjiandae kujadili report ya CAG. Hilo hatujasahau pia.
Tanzania Railways Corp kuna kaujumbe kenu hapa... Mwambieni Kadogosa watanzania sio wajinga.....Tumekula mihogo na michicha ili tupate maendeleo sio ngonjera
 
Hi Great thinker.

Nitumie wasaa huu kueakumbusha TRC Kuwa baada ya kushindwa kufanya majaribio Mei 2023. Kwa walichodai ni sababu Za misingi

Sasa ni mwezi wa Saba nao umeshagawa Kati, waliahidi wataanza majaribio. Nawakumbusha issue ya Bandari haijatusahaulisha hili tunasubiri ngonjera zenú tena.

Wakati huo Huo. Bunge mjiandae kujadili report ya CAG. Hilo hatujasahau pia.
Tanzania Railways Corp
 
Nchi zingine hizi ahadi wangeshakula risasi.

Inaonesha wanazitowa mdomoni tu lakini siyo kwa malengo ya kitaalam.

Porojo nyingi tu. Lazima tubadilike.

Reforms za mama muhimu sana.

Kitila Mkumbo
 
Mabehewa yapo sijui wameshindwa Nini ata kuazima vichwa ata viwili kwenye nchi walizo zipa tenda vikiisha vyakwetu tunawaludishia vyao
 
Back
Top Bottom