The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Time will come wata regretKuongoza mtz ni kazi rahisi sana. Unaahidi chochote na usipodeliver hamna yeyote atayekusumbua
Ni kama kuongoza makondoo?!Kuongoza Mtanzania ni kazi rahisi sana. Unaahidi chochote na usipodeliver hamna yeyote atayekusumbua
Wapuuzi wakubwa hawa. Naona TZ tunavozidi kusoma wajinga ndiyo wanakuwa Wengi...Hawa walianza 2021 kudanganya umma.
I think hii ya July 2023 ni mara 5 hivi
Hi Great thinker.
Nitumie wasaa huu kueakumbusha TRC Kuwa baada ya kushindwa kufanya majaribio Mei 2023. Kwa walichodai ni sababu Za misingi
Sasa ni mwezi wa Saba nao umeshagawa Kati, waliahidi wataanza majaribio. Nawakumbusha issue ya Bandari haijatusahaulisha hili tunasubiri ngonjera zenú tena.
Wakati huo Huo. Bunge mjiandae kujadili report ya CAG. Hilo hatujasahau pia.
Nchi hii ahadi sio kitu cha kuzingatia sana, utakufa kihoro. Mradi ukiahidiwa kukamilika mwaka fulani, ongeza miaka 2 kwa uhalisia.Hi Great thinker.
Nitumie wasaa huu kueakumbusha TRC Kuwa baada ya kushindwa kufanya majaribio Mei 2023. Kwa walichodai ni sababu Za misingi
Sasa ni mwezi wa Saba nao umeshagawa Kati, waliahidi wataanza majaribio. Nawakumbusha issue ya Bandari haijatusahaulisha hili tunasubiri ngonjera zenú tena.
Wakati huo Huo. Bunge mjiandae kujadili report ya CAG. Hilo hatujasahau pia.
Tanzania Railways Corp kuna kaujumbe kenu hapa... Mwambieni Kadogosa watanzania sio wajinga.....Tumekula mihogo na michicha ili tupate maendeleo sio ngonjeraHi Great thinker.
Nitumie wasaa huu kueakumbusha TRC Kuwa baada ya kushindwa kufanya majaribio Mei 2023. Kwa walichodai ni sababu Za misingi
Sasa ni mwezi wa Saba nao umeshagawa Kati, waliahidi wataanza majaribio. Nawakumbusha issue ya Bandari haijatusahaulisha hili tunasubiri ngonjera zenú tena.
Wakati huo Huo. Bunge mjiandae kujadili report ya CAG. Hilo hatujasahau pia.
Tanzania Railways CorpHi Great thinker.