TRC yako wapi mabehewa 24 ya ghorofa yaliyokarabatiwa na Lückemeier Transport & Logistik

TRC yako wapi mabehewa 24 ya ghorofa yaliyokarabatiwa na Lückemeier Transport & Logistik

concordile 101

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,379
Reaction score
6,624
ikumbukwe tarehe 9/6/0223 trc ilipokea mabehewa 6 ya ghorofa yaliyokarabatiwa na kamouni ya
Lückemeier Transport & Logistik ya Ujerumani na wakati wa mapokezi msemaji wa seriakli wa kipindi ndugu msigwa alituhaidi kufikia july ya mwaka huo tungeweza pokea maabehewa manegine kati ya 24 yaliyokuwa yamebaki yakiambatana na kichwa kimoja.

imepita takribani mwaka na hakuna dalili ya mabehewa mengine kuletwa uku ikiwa ni takribani miaka 3 imepita tangu mkataba wa ukarabati uingiwe.

TRC ni vyema watueleze ni lini
1) Matumizi ya mabehewa hayo utaanza.

2) Mabehewa yaliyosalia yatafika lini maan haya ya wakorea tushafikisha karibia 56 kati 59 huku yale yaliyokarabatiwa bado ya yako sita tu.

3) Au tumevunja mkataba wa ukarabati huo

7d8eb702-c15e-474c-83e4-101b3bd2118c.jpg
 
Back
Top Bottom