Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hizi sticker huwa zinasaidia nini hasa. Na leo nimekutana na IST ina sticker kibao mojawapo imeandikwa OFF ROAD. Nikabaki kucheka. Hivi hizi sticker huwa zinawasaidia nini hasa jamani.
IST offroad?
Mbona za maehindano hazina stika za kipuuzi hibyo
Kuna siku mvua imenyesha magari yamekwama njiani, wale wenye 4×4 wakawa wanatanua na kupita pembeni kibishi.Nasikia kuna vi-ist vyenye 4wd,kuna jamaa humu jf aliasema yeye ana hilux na ist ila off-road IST inafanya vyema kuliko hilux hahah nikamcheki nikasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nikazima na bando tu.
Wakati mwingine skills huwa zinamatter..Kuna siku mvua imenyesha magari yamekwama njiani, wale wenye 4×4 wakawa wanatanua na kupita pembeni kibishi.
Akatokea dereva wa Ist yenye 4wd akasema atapita gari yake ina 4wd hakusogea hata hatua 10 gari ikawa imekwama kwenye tope mbele haendi wala nyuma harudi.
Kaishia kukanyaga ekseleta na gari haisogei popote.
Hivi hiyo TRD inamaanisha nini? au ndio kifupi cha Tanroad?Kuna jamaa ameweka sticker ya TRD katika Nissan Patrol.. Hvi vitu vinahtaj uelewa jamani
Hata na mimi nataka kujuaHivi hiyo TRD inamaanisha nini? au ndio kifupi cha Tanroad?
Wakati mwingine skills huwa zinamatter..
Hivi hiyo TRD inamaanisha nini? au ndio kifupi cha Tanroad?
Nahisi ni Toyota racing development kama sikosei (nko tayari kurekebiswa)