Moja ya marapa wa kipindi hiko nilikuwa napenda jinsi wanavyoflow, energy yao.. kifupi ni kama walikuwa wanarap wakiwa mbele ya muda.
Hizo zote ni balaa, bila kusahau Perfect Party na nyingine nyingi lkn hii "Would've done the same to you" aisee huyu mwamba hata dmx hatii mguuUptown Anthem, Girl like You Ft Aaliyah na Aint Nobody Ft Monica to name just a few...