...ha ha ahaaa...
...ina nikumbusha ukiwa Gym kwenye treadmill halafu unakula chabo kabinti saaafi upande wa kulia kanakwenda sambamba kwenye 2.5 inclination halafu speed Level 9.1, 'coach-potato' temptation inakujia kuongeza inclination to 3. na speed 12...lazima ule mwereka!!!