T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
NENDA KWENYE BOT WEB SITE HARAFU NENDA KWENYE BONDS CALCULATORNaomba kwa anaelewa anifafanulie kiundani ni jinsi gani Treasury bills and bonds zinavyofanya kazi. Pia kati ya hizo mbili ukilinganisha na Fixed Deposit Account. Assuming ni 100,000,000 nataka kuizungusha kupitia hizo njia.
Wekeza kwenye bonds mkuu. Kwa rate ya 15% per annum. Unaweza staafu mapema ukiweka hela ya kiwango hicho. Uwekezaji unawezekana kuanzia 2M. Unaweza ingia na kutoka anytimeNaomba kwa anaelewa anifafanulie kiundani ni jinsi gani Treasury bills and bonds zinavyofanya kazi. Pia kati ya hizo mbili ukilinganisha na Fixed Deposit Account. Assuming ni 100,000,000 nataka kuizungusha kupitia hizo njia.
Bills calculation ya BOT ndio kama hizo hapo. Usipoelewa mahala uliza
Bonds siweki. Wengi wanaonunua bonds wanalenga miaka mingi mbele na wanaweka hela nyingi isiyo ya mawazo na mara nyingi wanatumia kukopeaView attachment 1837470