Treasury gets Sh40bn Safaricom pay cheque

😀😀 40billion ndoulikuwa unapigia mahesabu kujenga lightrail na bra bra nyingine kibao ?? A fool is always a fool😀😀
 
Safaricom jemeni hii tatizo wajua itaja iwe kama serikali nyingine......ningependa tuwe na kampuni ishirini kama safcom.... Hapo ndio kenya tutakuwa angalau tumestawi kiasi......
Mkiwa na kampuni kama 5 tu za safaricom basi wakenya mta tembea uchi😀😀
Safaricom jemeni hii tatizo wajua itaja iwe kama serikali nyingine......ningependa tuwe na kampuni ishirini kama safcom.... Hapo ndio kenya tutakuwa angalau tumestawi kiasi......
Mkiwa na kampuni 5 kama za safaricom all Kenyans will walk naked.😀😀Check out @kevotetv’s Tweet:
 
Wewe Bottas usiwe fala. Safaricom kageuka KRA kwa habari nilizo nazo😀😀
Uchumi utakuaje unaporomoka na kampuni zinatengeza faida ya $550mln?😀😀😀Sasa leta faida ya tigo na vodacom tuone ni nchi gani failed state😀😀😀
 
Kweli noma sana😀😀😳 Check out @TheMwita’s Tweet:
Safaricom imewapiga za uso umebaki ukienda kutafuta tweets eh, leta faida za kampuni za tanzania ya viwonder😳😳😀😀😀
 
Safaricom inauwezo wa kupindua Serekali tatu kwa mpigo... kuna wakati utafika Safaricom iwe ina direct serikali ifanye nini, wakisema kwe! Rais na mawaziri wake wanapiga magoti wakiomba msamaha... Nilifikiri ni mpesa ndo inafaidisha Safaricom kupindukia kumbe hata ni voice calls ndo zinaongoza kwa kufaidisha safcom... hata wakilazimishwa wagawanye kampuni Mpesa iwe kando bado jamaa watakua Goliath.......
Yani campuni moja iko valued at $12B in a third world country...
 
Kenyan will have to learn to coexist peacefully with the giant safaricom like Americans learnt to live with ogre standard oil. Anti trust act could not stop runaway standard oil growth
Standard ogre
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…