Trekta la kukodi

Sally

Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
42
Reaction score
0
Kwa anayejua sehemu wanapokodisha matrekta ya kukodi Dar es salaam au bagamoyo naomba contact zao
 
Toa kazi sally unakodisha kwa ajili ya kazi gani ? unahitaji lenye uwezo upi na terms unazo offer ni kiasi gani? Huu ni msimu wa kilimo ni ngumu kupata lakini hiyo pia inaaangalia wewe una offa nini na kazi inayofanywa itachukua muda gani
 
Bado nahitaji trekta la kukodi jamani wapi naweza kupata
 
Nami ninahitaji kukodi trekta eneo la Kiromo. Napenda kujua gharama
 
Maverick, Sally

Toeni details zaidi ama mni PM

Mkionyesha ukubwa wa kazi na wapi yalipo mashamba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…