Trekta ya aina gani ni bora kwa mazingira ya Tanzania?

Trekta ya aina gani ni bora kwa mazingira ya Tanzania?

Naomba kama kuna fundi wa tractor aina ya swaraj FE 963 anisaidie, trekta ipo dodoma
 
Tanzania ni pana buda...kijijini kwetu trekta bora ni jembe chapa mamba
Ndugu mwana JF! Kwa wenye uzoefu na matrekta, unahisi trekta gani limeonesha usanifu shambani(ulaji mzuri wa mafuta>upatikanaji wa vipuli>kudumu kwa chombo husika) katika ardhi ya Tanzania!?
 
Hii nkuuzie
 

Attachments

  • IMG-20241124-WA0010.jpg
    IMG-20241124-WA0010.jpg
    113.8 KB · Views: 13
Massey Ferguson won't let you down.. kwa vile imetumika sana bongo, mafundi washapata uzoefu nayo na vipuli vinaletwa nchin kwa wingi. Tofauti na hzo mpya za kisasa, utendaj unaweza kuwa bora zaid lkn ikiharibika ukai paki kuagiza kifaa kitakachofika ndan ya mwez mzima uku chombo imepaki na kazi imesimama.
 
Back
Top Bottom