Trekta Bora
Member
- Jan 25, 2023
- 9
- 10
FordNdugu mwana JF! Kwa wenye uzoefu na matrekta, unahisi trekta gani limeonesha usanifu shambani(ulaji mzuri wa mafuta>upatikanaji wa vipuli>kudumu kwa chombo husika) katika ardhi ya Tanzania!?
Ford
Massey Fergason
Ndugu mwana JF! Kwa wenye uzoefu na matrekta, unahisi trekta gani limeonesha usanifu shambani(ulaji mzuri wa mafuta>upatikanaji wa vipuli>kudumu kwa chombo husika) katika ardhi ya Tanzania!?