Trend Analysis: Utabiri msimamo mechi ya 30 Ligi Kuu

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Kwanza msiogope washabiki wa Mpira, Kuna mahesabu ya Utabiri wa Bingwa wa ligi pamoja na msimamo wa ligi kuu pale itakapofikisha mechi ya 30, mahesabu haya yanafanyika Kwa ligi mbalimbali ikiwemo premier league ya UK.

Kulingana na teknolojia ya Artificial intelligence Kwa kutumia trend analysis, Kwa mwenendo wa ligi yetu bara , mifumo ya AI imeweza kutabiri msimamo wa Ligi Kuu ndani ya mechi 30, kiufupi ni Utabiri wa top 4.

Kwakutumia Advanced Football predictor GPT inayo incorporate AI technology, inayotumia historical , recently results, football match statistics, na data nyingine muhimu, Inaonekana top Four itakuwa kama Ifuatavyo. Pia jua hii mifumo IPO online unaweza kwenda Fanya analysis Kwa muda wako kujua

The predicted top four of the NBC premier league at the end of the season with 30 games played, is as follows
1. Younga African, PT 85
2. Singida Black Stars PT 81
3. Simba Sports club PT, 80
4. Azam sports. PT 70
5. Singida Fountain PT , 69

Sasa je maroboti haya ya kimtandao yanayotumika kutabiri na kukalculate mambo mengi ,yametabiri yanga bingwa, Sasa tukaone mwisho wa msimu.
 
Simba 5imba Thiiimbaaaa hii Makolo FC hawawezi kufikia pointi hizo hata na MO Glazerbhai kanjibai janja2 akicheza, haiwezekani aslani.
 
Singida usidhani bado Wana timu ya kinyonge kama misimu 2 iliyopita, singida wamesajili quality kuzidi ata wachezaji wa Simba, wako vizuri sana msimu huu
 
Hapo namba4 weka mashujaa 😬😬😬
Kwanza msiogope washabiki wa Mpira, Kuna mahesabu ya Utabiri wa Bingwa wa ligi pamoja na msimamo wa ligi kuu pale itakapofikisha mechi ya 30, mahesabu haya yanafanyika Kwa ligi mbalimbali ikiwemo premier league ya UK.

Kulingana na teknolojia ya Artificial intelligence Kwa kutumia trend analysis, Kwa mwenendo wa ligi yetu bara , mifumo ya AI imeweza kutabiri msimamo wa Ligi Kuu ndani ya mechi 30, kiufupi ni Utabiri wa top 4.

Kwakutumia Advanced Football predictor GPT inayo incorporate AI technology, inayotumia historical , recently results, football match statistics, na data nyingine muhimu, Inaonekana top Four itakuwa kama Ifuatavyo. Pia jua hii mifumo IPO online unaweza kwenda Fanya analysis Kwa muda wako kujua

The predicted top four of the NBC premier league at the end of the season with 30 games played, is as follows
1. Younga African, PT 85
2. Singida Black Stars PT 81
3. Simba Sports club PT, 80
4. Azam sports. PT 70
5. Singida Fountain PT , 69

Sasa je maroboti haya ya kimtandao yanayotumika kutabiri na kukalculate mambo mengi ,yametabiri yanga bingwa, Sasa tukaone mwisho wa msimu.
 
Sitashangaa Simba kupoteza point 5 zaidi msimu huu kwa sababu inacheza na ushindani halisi dhidi ya timu pinzani.

Niko interested kujua hiyo GPT inapotabiri Yanga itapoteza point 5, ambazo nadhani ni kufungwa 1 na sare 1, hiyo mechi ya kufungwa ni ipi?
 
KenGold home.
 
Singida usidhani bado Wana timu ya kinyonge kama misimu 2 iliyopita, singida wamesajili quality kuzidi ata wachezaji wa Simba, wako vizuri sana msimu huu
Nakubaliana na wewe Hawa jamaa wana wachezaji wazuri kabasi....ngoja tuone dhidi ya yanga watachezaje
 
Singida kashapoteza point 2, akimaliza na point 81 Ina maana atakua kapoteza point 9 msimu mzima, kwa io kuanzia sasa apoteze point 7 tu, Ina maana afungwe Moja na adraw mechi mbili zingine zote ashinde, katika mechi 6 vs yanga,Simba na Azam singida wapoteze mechi Moja tu hapo, what a joke!!!!
 
Sidhani yanga , azam Wala Simba watamfunga singida kirahisi
 
YAULIZE HAYO MAROBOTI MWISHO WA MAISHA YAKO UTAKUWA LINI, YAKIKUJIBU RUDI NA MREJESHO HAPA, IKIWA TOFAUTI MAANA YAKE HAKUNA TOFAUTI NA TABIRI ZA WAGANGA WA KIENYEJI.....
 
Singida kashapoteza point 2, akimaliza na point 81 Ina maana atakua kapoteza point 9 msimu mzima, kwa io kuanzia sasa apoteze point 7 tu, Ina maana afungwe Moja na adraw mechi mbili zingine zote ashinde, katika mechi 6 vs yanga,Simba na Azam singida wapoteze mechi Moja tu hapo, what a joke!!!!
Upo sahihi sana ni kitu kigumu sana hiko kutokea.
 
Kwenye mechi 6, yanga 2, Simba 2, Azam 2 lazima apoteze mechi zaidi ya Moja hapo
Yaani ni sawa sawa na amtandike timu moja wapo (Simba, Yanga au Azam) nje ndani na kisha atoe sare na mmoja wapo. Au ashinde mechi mbili dhidi ya hao na sare moja kitu ambacho ni ngumu.
 
Back
Top Bottom