Tetesi: Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.

Ummy mwalimu ana kosa gani, kwa kurekebisha kauli yake kuwa alikuwa anatania msifyatue watoto wengi fuateni uzazi wa mpango
 
Kigwangala anatakiwa awe full minister yuko vizuri.
Anashindwa kufanya kazi kwa sababu ya mdada atamkana faster. Chezea NMR wewe???
 
Sasa mbona umemweka na Mwijage wakati viwanda vimeonekana Shinyanga
 
M Mpango sio prof.Hata hivyo ikiwa atafanya km ulivyosema hayo yarakuwa mabadiliko makubwa mno ktk baraza na sio mabadiliko madogo km ulivyoyaita
 
Kwani akimuundia wizara yake Professor kuna shida gani? Si Katiba inamuruhusu badala ya kufanya mabadiliko ya baraza zima la mawaziri?
 

@pasco

Kuna yule Jamaa aliyekana Thesis yake Juu ya Muundo wa Serikali tatu iliyompatia PHD.
Pia Huenda Bwana Yule Sasa anataka ku Incorporate Maoni ya Tume ya Jaji Jose kwenye Serikali yake.
Huenda Proff akachukua Nafasi ya yule Jamaa aliyeikana Thesis yake Kisa Posho za BMK.
Ila Siamini Kabisa kama Yule Mbaba Mwenye Bint yake Mjengoni eti na Yeye ataingia kwenye Cabinet.
Mungu epushia Mbali

Malipo ni Hapa Hapa Duniani
 

Hahahah, Huu ni uchochezi wa Kiwango cha Lami
 
Mwanasheria mkuu anaitwa nani tena....
 
Kwa vyovyote vile uteuzi huu ni ishara kwamba Profesa Maghembe ajiandae ajiandae....
Tetesi za ndani sana zinasema Dr.Mwakyembe anakwenda Maliasili na Utalii, Professa Kabudi anakwenda kuchukua Sheria na Katiba.

From very very reliable source.
Mnapopanga list zenu huko, mtashangaa atakachokuja nacho mkubwa. Kitabia voingozi wengi hawapendi ku- prove media right kwenye suala la teuzi.
 
Kama ni mbobezi kwenye sheria namna bora ya yeye kulitumikia Taifa ni kupewa cheo cha siasa au cha utendaji? Sina uhakika kama mawaziri ni signatories wa mikataba inayofungwa katika wizara zao bali watendaji kama Makatibu wakuu ndio signatory.
 
acha watumbuliwe tu maana hakuna namna, mimi karata naitupa kwa mwakyembe kutumbuliwa
 
Paskali, Mwakyembe ana mapungufu gani? Anaijua sheria ila anacheza ngoma ya CCM
Labda kama anataka kuingia bungeni kupambana na mahili wa sheria wa upinzani. Anaweza akawa academician mzuri but not performer mzuri ....................
unajua ninyi watu mnashangaza sana, hivi kabudi awe waziri wa sheria, anaijua lini sheria? anajua theory tu, practice hajawahi, hana hata mhuri, hajawahi kuappear kwenye kesi yeyote mahakamani zaidi ya kuwa mtazamaji tu, uanasheria unahitaji mtu aende mahakamani huyo ndiye anayeijua sheria na anajua mazingira ya sheria, hao ambao hawajawahi kwenda mahakamani hawajui ni sawa tu na interns. usibabaishwe na mtu aanaitwa profesa wa sheria, hata mwakyembe mwenyewe hajapractice sheria, ni wale wale tu, ni kesi gani mwakyembe alishinda, lawfirm gani aliyonayo, wanasheria tunaotakiwa kuwapa nafasi ni wale wanaojua mazingira ya kazi mahakamani, procedure za mahakamani, practice ya sheria ugumu wa wafanyakazi sector hizo na urahisi wake etc, mtu amekuwa anafundisha tu sheria pale mlimani hajawahi hata kupitia bar examination utamwitaje mwanasheria? hebu wanasheria wenzangu tusaidiane. sheria sio kama fani zingine za udaktari etc, sheria inahitaji practice ndio maana hata ukifundisha miaka 50 kama haujapractice hujui kitu wewe ni sawa tu na fresh from school!

tatizo la nchi yetu inaamini mtu akiwa doctor, professor etc ndiye anafanya kazi vizuri. kumbe kuna watu hawana vyeti hivyo lakini kwa practice wanao uwezo mkubwa sana kuliko hata professor. mbona hao madoctor na maproff tukipambana nao mahakamani sisi watu wa kawaida tunawashinda na kuwagaragaza kabisa.....akina prof fimbo, dr lamwai, malecturer wote hapo mlimani na kokote kule tunapambana nao lakini tunawashinda mahakamani.....na wakati mwingine unawaona kabisa wanaamini wao kwasababu wanafundisha theory za sheria (ambazo zinabadilika kila wakati kutokana na case laws na updated laws), unamsambaratisha kwa hoja za kisheria hadi akasimulie na wanafunzi wake. acheni hizo.
 
Rais wetu hatabiriki uwenda akatenguwa ama asitenguwe. Time
Wawekezaji na watu wenye kufanya ambo makubwa huwa hawafanyi kazi na mtu anayeishia kama mawingu.Au anaongea kitu asichokifanya kwa vitendo.
 

Kusema kweli nimekukubali sana baada kusoma trend reaing zako za nyuma. Hakika wewe ni msomi wa kuaminika kabisa. Unaitumia taaluma yako kwa faida, umenitamanisha kurudi shule japo ni jioni.
 


Kwa hiyo ulitaka apewe yule sijui Kibatali wa chadema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…